Nahum 1:2

Hasira Ya Mungu Dhidi Ya Ninawi


2 a Bwana ni mwenye wivu na Mungu mlipiza kisasi;
Bwana hulipiza kisasi na amejaa ghadhabu.
Bwana hulipiza kisasi juu ya watesi wake,
naye anadumisha ghadhabu yake dhidi ya adui zake.
Copyright information for SwhKC